Ruth 1:20

20 aAkawaambia, “Msiniite tena Naomi,
Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha.
niiteni Mara,
Mara maana yake Chungu.
kwa sababu Mwenyezi
Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.
amenitendea mambo machungu sana.
Copyright information for SwhKC